KIDAGAA KIMEMWOZEA

JADILI MAUDHUI YAFUATAYO KWA KUTOLEA MIFANO MWAFAKA RIWAYANI.

1. Elimu

2. Kazi /Ajira

3. Ajira ya watoto

4. Ulemavu

5. Wizi

6. Lugha ya Kiswahili

7. malezi

8. Umaskini

9. Tanzia/Kifo/Huzuni

10. Kutowajibika kwa vingozi katika jamii.